Seneta Okiya Omtatah kuwasilisha kesi ya kupinga mswada wa kifedha 2023/24 Mahakamani

  • | West TV
    447 views
    Wakenya wakiendelea kutoa hisia kinzani kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2023, sasa Seneta wa Busia Okiyah Omtatah anaelekea mahakamani kupinga mswada huo akisema unakiuka vipengee vingi vya katiba ya kenya.