Serikali ya kaunti ya Kilifi imetishia kuhamisha miili iliyofukuliwa hadi hospitali ya KNH

  • | KBC Video
    61 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imetishia kuhamisha mili iliyofukuliwa huko Shakahola ambayo ingali inahifadhiwa katika makafani ya hospitali ya Kaunti hiyo, hadi hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Zaidi ya mili 429 haijachukuliwa katika makafani ya hospitali ya kaunti ndogo ya Malindi. Gavana wa Kaunti hiyo Gideon Mung’aro amesema, hali hiyo si mzigo tu kwa Kaunti husika, bali pia imechangia uvundo unaotishia afya ya wakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News