Serikali yaahidi kusaidia kwenye upanuzi wa kiwanda cha matunda cha Tana River

  • | Citizen TV
    124 views

    Serikali imeahidi kusaidia kwenye upanuzi wa kiwanda cha matunda cha Tana river ambacho kinasimamiwa na Mamlaka ya maendeleo Pwani. Hatua hiyo inalenga kupunguza hasara inayotokea baada ya mavuno.