Serikali yahamasisha wananchi kugeuza tabia ya majangili

  • | Citizen TV
    187 views

    Huku oparesheni ya vitengo mbali mbali ikiendelea katika kaunti sita za kaskazini mwa Bonde La Ufa, wanajeshi wa kdf wanaonekana kutekeleza sio tu makabiliano na majambazi wanaovuruga amani mbali pia ujenzi wa miundo msingi iliyoharibiwa katika miaka kadhaa ya machafuko.