Serikali yajenga bwawa eneo la mpakani Lokichogio katika kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    218 views

    Serikali kwa ushirikiano na shirika lisilo la serikali imejenga bwawa la maji huko Lokichogio kaunti ya Turkana ili kuzima migogoro ya mara kwa mara katika maeneo ya mpakani.