Serikali yasifiwa kwa kujenga vyuo vya kiufundi katika kaunti

  • | Citizen TV
    212 views

    Katibu mkuu wa muungano wa vyuo vya kiufundi nchini shadrack tanui amesifu hatua ya serikali ya kuhakikisha kuwa kila eneo bunge lina chuo cha kiufundi