Serikali yatoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa mpango wa Inua Jamii

  • | Citizen TV
    293 views

    Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2 kwenye mpango wa Inua Jamii huku shilingi bilioni 4.31 zaidi zikigharamia lishe. Zaidi ya watu milioni moja wamenufaika na mpango huo. Hata hivyo serikali inakiri kuwa kuwekuwa na hitilafu zilizosababisha kucheleweshwa kwa pesa hizo kwa walengwa.