Sherehe za Eid zaendelea kwa siku ya pili maeneo mbalimbali

  • | Citizen TV
    343 views

    Wakaazi wa Lamu wamehimizwa kuwasaidia majirani zao wasiojiweza hususan msimu huu wa siku kuu ya Eid ul Adha. Wakazi wengi hawamudu hata mlo mmoja kwa siku.