Shule ya upili ya Sacred Heart Mukumu kusalia kufungwa baada ya wanafunzi wawili kufariki

  • | KBC Video
    67 views

    Shule ya upili ya wasichana ya Sacred Heart Mukumu katika eneo la Khayega, kaunti ya Kakamega, itasalia kufungwa baada ya wasichana wawili kufariki kwa madai ya kupewa chakula kisichofaa. Zaidi ya wanafunzi 500 yasemekana walipata maambukizi ya bakteria baada ya kula chakula hicho. Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amesema uamuzi wa kufunga shule hiyo uliafikiwa baada ya mkutano baina ya washikadau kutoka sekta za afya na elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #MukumuGirls