Suluhu ya mafuriko Masinga

  • | K24 Video
    45 views

    Kamati ya seneti kuhusu udhibiti wa nishati inahimiza wizara ya kawi na mafuta iharakishe ujenzi wa bwawa la high grand falls lililopendekezwa kama suluhu ya muda mrefu ya mafuriko yanayoathiri kaunti za garissa, tana river na lamu kutokana na kujaa kwa mabwawa ya seven forks, pia wametoa wito wa kuongezwa kwa ukuta wa bwawa masinga kama suluhu ya muda ya kuchelewesha maji kujaa.