Tahadhari ya kipindupindu Makueni

  • | Citizen TV
    109 views

    Huku visa vya magonjwa yanayosababishwa na maji taka yakianza kuripotiwa nchini, gavana wa kaunti ya Makueni Mutula Kilonzo jnr ameitaka serikali kuu kushirikiana na serikali za kaunti kuwatuma madaktari, dawa na bidhaa zengine kwa haraka kwa waathiriwa wa mafuriko.