Tamasha ya utamaduni wa Lamu kuandaliwa Novemba

  • | Citizen TV
    582 views

    Sherehe za utamaduni wa Lamu zimepangiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu katika kaunti ya Lamu baada ya sherehe hizo kukosa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili kufuatia tandavu ya Korona