Tatizo la ulevi katika eneo la kati mwa nchi limesalia kuwa donda sugu

  • | KBC Video
    23 views

    Tatizo la ulevi katika eneo la kati mwa nchi limesalia kuwa donda sugu huku mito mipya ikitolewa kwa serikali kubadili mbinu ya kukabiliana na tatizo hilo. Wazazi ambao wana wao ni waraibu wa pombe wanatusimulia jinsi wamelazimika kuwalea wajukuu wao na kuishi kwa hofu ya kupigwa na wana wao walevi. Mwanahabari wetu Pauline Nasimu anatusimulia hadithi za kutisha za wazazi wanaofadhaika mikononi mwa wana wao walevi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News