Tufani ya Hidaya inatarajiwa leo usiku hadi Jumatatu

  • | Citizen TV
    5,985 views

    Kimbunga cha Hidaya kinatazazamiwa kushuhudiwa nchini kuanzia saa kumi na moja jioni leo hadi Jumatatu usiku. Ilani iliotolewa na idara ya utabiri wa hali ya anga imeonyesha kuwa upepo mkali na kimbunga hicho kitaandamana na mawimbi mazito baharini. Waziri wa usalama kithure kindiki amepiga marufuku shughuli za kuogelea, uvuvi na safari za baharini