Uchunguzi katika ujenzi wa jumba la ghorofa lililoporomoka eneo la Uthiri

  • | K24 Video
    61 views

    Waziri wa barabara na miundombinu Kipchumba Murkomen ameitaka mamalaka ya ujenzi nchini, NCA, kufanya uchunguzi wa wakandarasi wote waliohusika katika ujenzi wa jumba la ghorofa lililodidimia na kuporomoka eneo la Uthiri jana usiku. Haya yanajiri huku kaimu katibu wa kaunti Patrick analo akisema kuwa tayari serikali imeitisha mapendekezo kutoka kwa wadau husika ili ukaguzi wa majengo yote yaliyoidhinishwa nairobi miaka miwili ilioyopita ufanyike.