Ugonjwa wa figo unaowaathiri watoto wachanga wanaozaliwa

  • | K24 Video
    62 views

    Wakati dunia iliadhimisha siku ya figo duniani tarehe 9 machi mwaka huu, iliibuka kuwa ugonjwa huo pia unawaathiri watoto wachanga wanaozaliwa. kisa kimoja kama hicho kimeripotiwa katika hospitali ya kakuyuni level 4, Matungulu, kaunti ya Machakos, ambapo mtoto wa wiki moja (sasa ana umri wa miezi miwili) nusura afanyiwe usafishaji wa figo yaani (dialysis) kutokana na kushindwa kwa figo. Hii imewaacha madaktari katika kaunti hiyo wakijikuna vichwa wakielekeza mawazo yao zaidi kwa watoto wanaozaliwa na ugonjwa huu.