Ugonjwa wa nasuri au fistula waendelea kuwalemea wanawake wengi nchini

  • | Citizen TV
    100 views

    Ugonjwa wa nasuri au fistula kwa kiingereza umeendelea kuwalemea wanawake wengi nchini huku umasikini na unyanyapaa vikatajwa kama sababu kuu za waathiriwa wa ugonjwa huu kutojitokeza kupata matibabu.