Uhuru asema kundi la waasi la M23 limekubali kuondoka katika maeneo zaidi ya kaskazini mwa Kivu

  • | KBC Video
    357 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amesema kundi la waasi la M23 limekubali kuondoka katika maeneo zaidi ya kaskazini mwa Kivu ili kuwezesha mashauri ya kutafuta amani katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yaendelee. Waasi hao ambao tayari wameondoka Sake-Mshaki-Neenero na Kilolirwe wataondoka Kitchanga kesho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #DRC #uhurukenyatta