Umasikini na uhaba wa dawa waathiri wagonjwa wa kifafa humu nchini

  • | Citizen TV
    153 views

    Wagonjwa wengi wa kifafa hawawezi kumudu gaharama ya matibabu humu nchini kutokana na umasikini na uhaba wa dawa. Ugonjwa huo wa ubongo ambao husababisha unyanyapaa, ni changamoto kuu katika jamii. Wakazi wa Busia wamehimizwa kukomesha dhana potovu kuwa ugonjwa huo husabanishwa na laana au uchawi.