Upanzi wa Miti I Viongozi washiriki kupanda miche nchini

  • | KBC Video
    25 views

    Mawaziri kadhaa, maafisa wa ngazi za juu serikalini na maafisa wengine kutoka mashirika mbali mbali ya serikali walishiriki katika shughuli za upanzi wa miche ya miti maeneo mbalimbali nchini hii leo, katika juhudi kuhakikisha serikali inaafikia lengo lake la asilimia 30 ya eneo la misitu hapa nchini kufikia mwaka 2032. Shughuli hiyo ya kitaifa ya upanzi wa miche kwenye maeneo yasiyo na miti pamoja na kuimarisha mfumo wa ikolojia, ilitekelezwa pia kwa nia ya kuwakumbuka zaidi ya wakenya 200 waliopoteza maisha yao kutokana na mafuriko hapa nchini. Hivi ndivyo shughuli hii ilivyotekelezwa katika sehemu mbali mbali za taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive