Upasuaji wa maiti wa Eric Maigo waonyesha alidungwa kisu mara 25

  • | Citizen TV
    5,346 views

    Imebainika kuwa Eric Maigo mkurugenzi wa fedha Nairobi hospital aliyepatikana amefariki nyumbani kwake katika eneo la Woodley hapa Nairobi alidungwa kisu mara 25. Wapelelezi wameanzisha msako mkali dhidi ya muuaji wa maigo. Kwa sasa wanachojua tu ni mwanamke aliyerejea naye nyumbani usiku wa al hamisi kabla ya kuuwawa.