Utepetevu wa madaktari | Hospitali za Mama Lucy na Kiambu level-5 zamulikwa

  • | KBC Video
    12 views

    Kamati ya seneti ya kushughulikia masuala ya afya sasa inataka serikali ya kaunti ya Nairobi kulainisha shughuli za afya kufuatia ongezeko la visa vya utepetevu katika hospitali mbalimbali. Kamati hiyo iliyohoji uongozi wa kaunti ya Nairobi kuhusu visa vya hivi majuzi vya utepetevu vilivyoripotiwa katika hospitali ya Mama Lucy inataka maswala kadhaa yashughulikiwe ikiwemo kuwafuatilia wafanyakazi ambao hawashughulikii vyema visa vya dharura.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #afya #News