Uwepo wa Raila Odinga katika kongomano la tabia nchi wazua gumzo mtandaoni

  • | K24 Video
    128 views

    Uwepo wa kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga katika kongomano la tabia nchi hii leo umezua gumzo mtandaoni hasa baada ya katibu wa usalama wa ndani Raymond Omolo kutoa taarifa ya kubadili taratibu za kuingia katika ukumbi wa jumba la kimataifa, KICC. Nduru hata hivyo zinaarifu kuwa licha ya Odinga kutafuta kibali cha kuhudhuria na kuzungumza katika hafla hiyo wizara ya mazingara haikumpa.