Uyoga wa sumu Kilifi

  • | TV 47
    32 views

    Biwi la simanzi lilitanda katika eneo la ganze kaunti ya Kilifi wakati wa mazishi ya watoto watano, waliofariki baada ya kukula uyoga uliokuwa na sumu mwezi ulipoita katika kaunti ya Kilifi.

    Watoto hao ambao walikuwa ndugu wanadaiwa kukula chakula hicho kufuatia baa la njaa lilokithiri eneo hilo .

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __