Vijana-18 wanaoshukiwa kuwa sehemu ya genge la wahalifu Nakuru wanaswa

  • | KBC Video
    244 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nakuru wamewakamata vijana-18 wa umri wa kati ya miaka 14 na 21 wanaoshukiwa kuwa sehemu ya genge la wahalifu. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi katika kaunti hiyo, Samuel Ndanyi vijana hao wanaodaiwa kuwahangaisha wakazi wa mtaa wa Rhonda na viunga vyake watafikishwa mahakamani huku polisi wakimsaka mwanamke anayetuhumiwa kuwaficha vijana hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News