Vijana katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wakabiliwa na ugumu wa kupata vitambulisho vya kitaifa

  • | Citizen TV
    1,162 views

    Vijana katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wanakabiliwa na ugumu wa kupata vitambulisho vya kitaifa. vijana hao wanalalamika kuwa stakabadhi muhimu za serikali hucheleweshwa mno na kuwasababisha kukosa huduma za serikali na hata kupata changamoto za urithi wazazi wao wanapofariki. Vyeti vya kuzaliwa na vya kifo hazipatikani kw aurahisi na mara nyingi inawabidi kusafiri umbali wa kilomita zaidi ya 20 hadi eneo la Mokowe kupata stakabadhi hizo.