Viongozi Kiambu walalamikia ukosefu wa bajeti ya ujenzi wa masoko

  • | TV 47
    6 views

    Mzozo mkali kati ya baadhi ya wabunge wa kaunti ya Kiambu na Gavana Kimani Wamatangi umechukua mwelekeo mpya baada ya baadhi ya wawakilishi wadi kufichua kuwa bunge la Kaunti halijatenga pesa za ujenzi wa masoko katika eneo hilo.

    #UpeoWaTV47 ' __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __