Viongozi wa Azimio wameahidi kumtetea gavana wa Nairobi Johnson Sakaja

  • | KBC Video
    49 views

    Viongozi wa Azimio wameahidi kupinga kile walichokitaja kuwa jaribio la serikali ya kitaifa kukandamiza uongozi wa gavana wa kaunti ya Nairobi Jonhson Sakaja. Wakizungumza wakati wa ibada ya kutoa shukrani ya muungano wa vyama vya wafanyakazi nchin- COTU kabla ya maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi, katika kanisa la St Stephens kwenye barabara ya Jogoo, wanasiasa hao wa mrengo wa Azimio walipuuza mapendekezo ya kutaka watumishi wa umma kuajiriwa kwa kandarasi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News