Viongozi wa Azimio wasisitiza hoja ya kumng'atua mamlakani inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome

  • | Citizen TV
    2,639 views

    Waathiriwa zaidi waliofariki katika maandamano ya kupinga serikali wamezikwa leo katika eneo la Luanda kaunti Vihiga huku viongozi wa Azimio wakiendelea kumkashifu inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome. Kiongozi wa Azimio Raila Odinga aliye ungana na familia katika mazishi ya ndugu wawili waliouawa na polisi wakati wa maandamano ya hivi karibuni , amesema watahakikisha waathirika wanapata haki.