Viongozi wa chuo kikuu cha Maseno wataka afisa anayedaiwa kumuua mwanafunzi kushtakiwa

  • | K24 Video
    241 views

    Viongozi wa chuo kikuu cha Maseno kaunti ya Kisumu sasa wanataka afisa anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa chuo hicho wakati wa maandamano ya Azimio siku ya Jumatatu ashtakiwe. Wanafunzi hao wamewashutumu maafisa wa polisi kwa kutumia risasi kuwatawanya waandamanaji licha ya kujua fika kuwa ni kinyume cha sheria.