Viongozi wa kidini kutoka Taita Taveta wataka makanisa na misikiti kukarabatiwa

  • | Citizen TV
    110 views

    Viongozi wa kiislamu katika kaunti ya Taita Taveta wametoa wito kwa serikali kuu na ya kaunti kukarabati maeneo ya kuabudu kwani misikiti mingi kaunti hiyo ni majengo ya kale. Kaunti hiyo kwa sasa ina zaidi ya misikiti 15 na makanisa zaidi 30 kongwe zinazohitaji ukarabati. Keith simiyu alizuru mojawapo ya misikiti ya kale eneo la wundanyi nakuandaa taarifa ifuatayo.