Viongozi wa Mulembe kupinga mswada wa kubinafsisha taasisi bila kupitia bunge

  • | West TV
    226 views
    Siku moja tu baada ya baraza la mawaziri kuidhinisha mswada wa kuitaka serikali kubinafsisha mashirika ya serikali pasipo kuhusisha bunge la taifa, sasa viongozi kutoka jamii ya mulembe katika bunge la taifa na seneti wamepinga vikali kauli hiyo wakisema kamwe hawatakubali serikali kutekeleza sheria hiyo.