Viongozi wa PAA wampigia debe mgombe ugavana kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    845 views

    Siasa za Ugavana kaunti ya kilifi zimepamba moto huku chama cha PAA kikipambana kutafuta uungwaji mkono eneo hilo. Chama cha PAA kilipeleka kampeni zake huko Kaloleni na kumpigia Debe Mgombea Ugavana George kithi. Viongozi hao wamewataka wenyeji wanaolenga kutatua mizozo ya ardhi ambayo imeendelea kuwasibu wapwani Kwa mda mrefu. Aidha kuhamishwa kwa huduma za bandari ambazo wanadai zimechangia Kwa kufufia Kwa uchumi ni baadhi ya masuala wanayotaka viongozi watakaochaguliwa kuangazia.