Viongozi wa SDA waelezea kutamaushwa na maafa ya Shakahola

  • | Citizen TV
    1,474 views

    Rais wa kanisa la SDA ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa Christopher Misoi amesikitishwa na vifo vya watu waliopotoshwa imani katika msitu wa Shakahola, kaunti ya Kilifi. Misoi anapendekeza makanisa yote nchini yapigwe msasa upya na kuyafunga mengi ambayo yanapotisha waumini.