Waathiriwa wa mafuriko Homa Bay waomba msaada

  • | Citizen TV
    595 views

    Huku mvua ikizidi kusababisha uharibifu katika sehemu mbalimbali humu nchini, walioathirika na mafuriko kaunti ya Homa-Bay wanaililia serikali kuwasaidia. Waathiriwa hao wanalalamikia hali mbaya kwenye kambi tatu wanakohifadhiwa kando na kukosa chakula na malazi. James latano alizuru kambi hizo na kuanda taarifa ifuatayo.