Waathiriwa wa mafuriko lamu wapewa neti

  • | Citizen TV
    377 views

    Waathiriwa wa mafuriko ya mwaka jana katika eneo la Bodhei kaunti ya Lamu wamepokea vyandarua vya mbu ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa w amalaria. mwaka jana, watu kadhaa walifariki eneo hilo kutokana na ugonjwa wa malaria kwa kukosa vyandarua hivyo. Aidha Wakaazi wameshauriwa kuchukua tahadhari na kulala ndani ya neti msimu huu wa mvua.