Waathiriwa wa mlipuko wa bomu katika jumba la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi walilia haki

  • | Citizen TV
    313 views

    Waathiriwa wa mlipuko wa bomu katika jumba la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi mwaka wa 1998 ambao hawakuwa wafanyakazi wa marekani wamepuuza madai kwamba walifidiwa na serikali ya Marekani. Waathiriwa hao waliokutana na mawakili wao wanasema waliofidiwa ni wakenya waliokuwa wakifanya kazi katika ubalozi wa marekani na raia wa marekani na sasa wanadai fidia yao.