Waathiriwa wanaoishi shuleni wapanga kuondoka

  • | Citizen TV
    3,696 views

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya shule kufunguliwa, wazazi walioathirika na mafuriko wamesalia katika njia panda kwani hawana namna ya wanao kurejea shuleni. Baadhi ya shule humu nchini bado zimejaa maji na haijulikani iwapo viwango vya maji vitapungua kufikia wiki ijayo.