Wabunge wa Azimio wakurupuka bungeni wakati waziri wa fedha alipoanza kusoma bajeti

  • | K24 Video
    56 views

    Wabunge wa muungano wa Azimio hii leo wamekurupuka bungeni wakati waziri wa fedha alipoanza kusoma bajeti. Wabunge hao wanadai kuwa hatua yao ni njia mojawapo ya kupinga hatua ya kenya kwanza ya kuupitisha kwa lazima mswada wa fedha mwaka wa 2023. Wabunge hao wanasisitiza kuwa bajeti ya rais William Ruto haikumjali mkenya wa kawaida. .