Wabunge wa Marekani kuanzisha uchunguzi dhidi ya China

  • | VOA Swahili
    759 views
    Wabunge wa Marekani wameanzisha uchunguzi mpana wa miaka miwili wa mkakati wa Marekani wa ushindani na China wiki hii, kwa kuwasikiliza wanaharakati wa haki za binadamu wa China, na washauri wa usalama. #wabunge #marekani #uchunguzi #marekani #china #ushindani #wanaharakati #voa #voaswahili #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.