Wachimba migodi Kakamega wakabiliana na maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    269 views

    maafisa wa polisi wa kituo cha central mjini kakamega na wachimba migodi kutoka eneo la rosterman walikabiliana huku wachimba migodi wakizozania sehemuya barabara ambayo inayojengwa. Wachimba migodi wanataka nafasi ya kuchimba dhahabu katika eneo hilo kabla ya shughuli ya kukarabati barabara kuendelea.kulingana na wakazi hao, itakuwa hasara kubwa kwa mwanakanadarasi huyo kuharibu raslimali hiyo ilhali ni tegemeo lao kla kila siku. wachimba migodi hao wanadai kuwa mwanakandarasi anawatumia watu fulani kusaifirsha mchanga hadi katika maboma yao na kuwakosesha mapato.