Wachuuzi katika soko la Kaburengu walalamikia serikali kwa kutowajengea vioo na vibanda

  • | Citizen TV
    465 views

    Wachuuzi katika soko jipya la kibiashara la Kaburengu kando mwa barabara kuu ya kutoka Eldoret kuelekea Webuye wamelalamikia kutelekezwa na serikali ya kaunti ya Kakamega kwa kutowajengea vioo,kuwawekea taa, na vibanda vya kuendesha biashara zao wakati wa jua na mvua.