Wadau washirikina kusaidia watoto wa mitaani Kakamega

  • | Citizen TV
    354 views

    Wadau mbalimbali katika kaunti ya Kakamega wametakiwa kushirikiana kupunguza idadi ya watoto wanaorandaranda mitaani na wale wanaotelekezwa na jamii. Akizungumza katika makao ya kuwaokoa watoto wa kike wanaotoroka makwao baada ya wazazi kutengana, kuaga dunia au visa vya ndoa za mapema,mwanzilishi wa makao hayo mhubiri dancun omondi amewataka wazazi kuwajibika kuhakikisha kuwa wanao wanakuwa salama huku akiitaka serikali ya kaunti kuungana na ile ya kitaifa kuhakikisha watoto wanaondolewa mitaani.