Wafanyibiashara wa baa Makueni wapata afueni

  • | Citizen TV
    327 views

    Wafanyibiashara wa baa kaunti ya Makueni wamepata afueni baada ya mahakama ya Makueni kuagiza waendelee na biashara zao wakisubiri mwelekeo wa wizara ya usalama kuhusu leseni za kuuza pombe. Wafanyibiashara hao wanasema kuwa tangu wizara hiyo kufutilia mbali leseni za biashara zao na kuwaruhusu kufanya kazi kati ya saa kumi na moja jioni hadi saa tano usiku wameendelea kupata hasara huku serikali ya kaunti ya makueni na serikali kuu zikikosa kuwasikiza.