Wahubiri wataka serikali kujadiliana na upinzani

  • | Citizen TV
    1,041 views

    Viongozi wa kidini wameendelea na wito wao wa mazungumzo kati ya viongozi wa serikali na wale wa upinzani ili kusitisha maandamano yanayoendelea nchini.