Wakaazi wa kijiji cha Gitwamba kaunti ya Kiambu wasema hawatahama licha ya mafuriko eneo hilo

  • | Citizen TV
    4,328 views

    Hatari Ya Bwawa Kiambu Wakaazi Wa Kijiji Cha Gitwamba Wasema Hawatahama Wakaazi Walitakiwa Kuhama Kwa Hatari Ya Bwawa Wanataka Kutimizwa Kwa Ahadi Ya Kuwafidia Mashamba Hatari Ya Kufurika Kwa Bwawa Inawakodolea Macho Bwawa Karimenu Ii Limeendelea Kujaa Maji Kwa Mvua