Wakaazi wa Marsabit wameitaka serikali isaidie jamii za eneo hilo zinazokumbwa na njaa

  • | KBC Video
    72 views

    Wakazi na viongozi wa Marsabit wametoa wito kwa serikali na washirika wa maendeleo kuingilia kati kusaidia jamii za eneo hilo zinazokumbwa na njaa. Sehemu za kaunti hiyo kubwa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita hazijapokea mvua ya kutosha,hali ambayo imesababisha kuangamia kwa mifugo wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News