Wakazi wa Kijabe waagizwa kuhama kufwatia tishio la mafuriko

  • | KBC Video
    71 views

    Serikali imeamuru kuhamishwa kwa watu wote ambao makazi yao yako kwenye njia ya maji endapo mifumo ya maji itapasuka. Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki wakati huo huo ameagiza kukarabatiwa haraka kwa mifumo ya maji kando ya miundombinu ya Reli katika eneo la Kijabe ili kuepusha vifo katika eneo hilo kama ilivyokuwa wiki jana. Haya yanajiri huku idadi ya waliofariki humu nchini kutokana na mafuriko ikifikia 238, 174 wakipokea matibabu na 75 hawajulikani waliko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive