Wakazi wa Lamu waonywa dhidi ya kutafuta hongo kwa wanasiasa

  • | Citizen TV
    524 views

    Shinikizo limetolewa kwa wenyeji  wa Lamu kuwachagua viongozi pasina kutegemea kuhongwa. wakazi hao wametakiwa kuzingatia sera za wagombea wala sio ukabila na vyama vya kisiasa.