Wakazi wa Lamu waraiwa wasiuze mashamba yao baada ya kupokezwa hatimiliki

  • | Citizen TV
    313 views

    Wakaazi wa Lamu wametakiwa kuwekeza kwenye ardhi yao kipindi hiki ambapo wanapopokezwa hatimiliki za ardhi na serikali ili kujiendeleza na kujiinua kimaisha. aidha wanaopokezwa hatimiliki hizo wameshauriwa kutouza mashamba hayo.